Free Frp Remove without entering the setting

 


MR FLASH MOBILE SOFTWARE

swahili.

kama una taka kuweka password Simu ili utoe Frp 
bila kutumia apk ni rahisi sana unatakiwa kufuata maelezo 
haya kwa nza unganisha data kutoka simu nyingine kuja simu yenye 
frp kwa kutumia wi-fi
nenda mpaka google ingia andika MR FLASH MOBILE SOFTWARE
ingia kwenye peji hii gusa hapa ili kuweka Password Au Pattern Au Pin
ili utoe Frp  
  • Open Set Lock Screen Set Lock Screen
  • Baada ya kumaliza Ludi nyuma next Ukifika sehemu ya kuweka
  • Password Basi weka ile password ulio weka hapo juu
  • utakuwa umemaliza kazi asante kwa kushilikiana nasi
English

if you want to set a Phone password to remove Frp
without using the apk it is very easy you have to follow the instructions
these first connect data from another phone to a mobile phone
frp using wi-fi
go to google login and write MR FLASH MOBILE SOFTWARE
Log in to this page just click here to set a Password Or Pattern Or Pin
to give Frp
When finished Go back next When you reach the set point
Password Then enter the password you entered above
you will be done thank you for cooperating with us 

0675778177 CALL ME                                    AU 0693241135


NAOMBA MSAMAHA KWENU ? 🙌🙌🙌


 KWA SASA NIKO OFFLINE SITO KUWEPO WTHAAP KUTOKANA NA SHIDA YA KI MTANDAO 
KAMA NITA KUWA ONLINE HUDUMA ZA WTHAAPP ZITAENDELEA BILA WASIWASI
UKITAKA HUDUMA ZA CODE FILE TESTED NA REMOTE SERVISE
NIPIGIE KWA NJIA YA KAWAIDA 0693241135 AU 0675778177
KAMA KUNA MUDA ITAKUWA HAIPATIKANI AU KUTUMIKA SANA PIGA HIYO 
NYINGINE ITAFAA 
PIGA 0693241135                                                            AU                          0675778177 

TANZANIA ONLY


FRP BYPASS FREE BY MR FLASH 2022

0 Response to " Free Frp Remove without entering the setting "

Posting Komentar